IQNA

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaaanza mjini Tehran

Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani katika vitengo vya qiraa na kuhifadhi Qur’ani kikamilifu yalianza Ijumaa 20 Aprili mjini Tehran katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA