Usiku wa Laylatul Qadri (Usiku wenye heshima kubwa katika mwezi wa Ramadhani) umetakwa katika Qur’ani Tukufu kuwa bora kuliko miezi elfu. Huu ni usiku ambao Qur’ani Tukufu imeteremshwa.
Amali za usiku huu wenye cheo zimefanyika kwa kuzingatia kanuni za kiafya wakati huu wa janga la corona.