Habari Maalumu
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa zama za Uthmaniyya umeuzwa katika katika mnada wa turathi za Kiislamu jijini London, Uingereza.
27 Apr 2024, 11:19
Diplomasia
IQNA-Raisi Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna irada baina ya Iran na Afrika kuimarisha na kustawisha uhusiano wa kibiashara na kuongeza...
26 Apr 2024, 20:30
Jinai za Israel
IQNA-Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Afrika Kusini imetoa mwito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu makaburi ya umati yaliyogunduliwa katika...
26 Apr 2024, 20:59
Harakati za Qur'ani
IQNA - Maelfu ya wafungwa katika jela za Jamhuri ya Kiislamu Iran wamefaulu kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu au juzuu kadhaa wakiwa wanatumikia vifungo...
26 Apr 2024, 22:51
Al-Masjid An-Nabawī
IQNA - Mamlaka za Saudia zimeripoti kuwa zaidi ya waumini milioni 5.9 walitembelea Msikiti wa Mtume (Al-Masjid An-Nabawī) wiki iliyopita.
26 Apr 2024, 11:30
IQNA - Marehemu qari wa Misri Sheikh Abdul Basit Abdul Samad anajulikana katika ulimwengu wa Kiislamu kama mmoja wa wasomaji wakubwa wa Qur'ani Tukufu
25 Apr 2024, 17:33
Elimu
IQNA - Rais wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri ameisitiza haja ya kulipa kipaumbele maalum suala la tarjuma au tafsiri sahihi ya maandishi...
25 Apr 2024, 17:23
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani ya Bahrain yalihitimishwa Jumatano usiku.
25 Apr 2024, 17:09
Mauaji ya Kimbari Gaza
IQNA - Ili kushughulikia mahitaji ya dharura zaidi ya Wapalestina huko Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia...
25 Apr 2024, 17:02
Nidhamu Katika Qur'ani/ 5
IQNA - Sababu kuu ya hisia nyingi zisizohitajika ni ukosefu wa kujistahi au ile hisia ya kujiheshimu.
24 Apr 2024, 20:54
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Mashindano ya kila mwaka ya Qur'ani katika jimbo la Sabah nchini Malaysia yamezinduliwa katika mji wa Kota Kinabalu Jumatano
24 Apr 2024, 20:40
Turathi za Kiislamu
IQNA – Msahafu wa kipekee wa enzi za Uthmaniyya ni miongoni mwa bidhaa za sanaa za Kiislamu zitakazopigwa mnada Sotheby's London wiki hii.
24 Apr 2024, 20:31
Harakati za Qur'ani
IQNA - Sherehe imefanyika katika Radio au Idhaa ya Qur'ani ya Misri huko Cairo kusherehekea kumbukumbu ya miaka 60 ya kuanzishwa kwa kituo hicho cha redio
24 Apr 2024, 20:21
Hija
IQNA - Zaidi ya Wairani 83,000 wataelekea Saudi Arabia kushiriki katika ibada ya Hija mwaka huu, afisa mmoja alisema.
23 Apr 2024, 11:20
Jina za Israel
IQNA - Msemaji wa Umoja wa Mataifa ameitaja ripoti kuhusu kugunduliwa kwa makaburi ya halaiki huko Gaza kuwa ni ya kushtusha, huku ushahidi wa awali ukionyesha...
23 Apr 2024, 11:30
Elimu
IQNA - Naibu mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar cha Misri amesema kuna changamoto nyingi katika kazi ya tarjuma au tafsiri ya maandiko ya kidini,...
23 Apr 2024, 11:07