IQNA

Msikiti wa Putra, Malaysia, msikiti maridadi zaidi duniani

TEHRAN (IQNA) - Msikiti wa Putra ambao uko katika mji wa Putrajaya, Malaysia ni maarufu kama msikiti maridadi zaidi duniani.
Msikiti huo ulipata rangi yake ya waridi mwaka 1997 na usanifu majengo yake umepata ilhamu kutoka usanifu majengo wa Kiajemi au Kiirani uliokuwepo katika zama za Safawi na pia umeiga muundo wa tamaduni zingine za Waislamu duniani.
 
 
Kishikizo: malaysia ، msikiti wa putra