Habari Maalumu
IQNA – Katika Ukanda wa Gaza uliokumbwa na vita, dada watatu wa Kipalestina wamekamilisha kuhifadhi Qur’ani Tukufu yote, licha ya kuvumilia mashambulizi...
11 Aug 2025, 23:21
IQNA – Maonyesho ya sanaa yenye maudhui ya Qur’ani yameandaliwa kando ya njia ya Ziyara ya Arbaeen ili kuonesha thamani za harakati ya Imam Hussein (AS)...
10 Aug 2025, 23:53
IQNA-Mshambuliaji wa timu ya soka ya Liverpool, Mohamed Salah amekosoa hatua ya Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya UEFA ya kumuenzi Suleiman Al-Obeid,...
10 Aug 2025, 23:46
IQNA – Mwanazuoni mmoja kutoka Iran amesema kuwa matembezi Arbaeen yanabeba kanuni muhimu ambazo zinaweza kusaidia kuweka msingi wa kustawishwa upya kwa...
10 Aug 2025, 23:39
IQNA – Qari bora wa kiume wa Malaysia katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani mwaka huu nchini humo amesema kuwa kujifunza kutoka kwa mashaikh wa qiraa’ah...
10 Aug 2025, 23:32
IQNA – Wawakilishi wawili kutoka Malaysia wametwaa ubingwa katika Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu ya Malaysia (MTHQA)...
10 Aug 2025, 08:45
IQNA – Maqari kutoka mataifa mbalimbali wanaendelea kushiriki katika kampeni ya Qur’ani Tukufu ya Fath kwa kuwasilisha video za kisomo chao cha maneno...
10 Aug 2025, 08:57
IQNA – Waziri Mkuu wa Malaysia amesema kuwa serikali yake itatenga ufadhili wa ziada kwa Yayasan Restu ili kuwezesha tafsiri ya Qur’ani Tukufu katika lugha...
09 Aug 2025, 20:25
IQNA – Viongozi wa moja ya misikiti mikubwa zaidi nchini Australia wamesema wamepokea vitisho vya kuuwawa baada ya kutangazwa mpango wa kuweka vipaza sauti...
09 Aug 2025, 20:16
IQNA – Mufti Mkuu wa Misri amesema kuwa akili mnemba (Artificial Intelligence – AI) haina mamlaka ya kutoa maamuzi ya Kiislamu au fatwa.
09 Aug 2025, 20:10
IQNA – Zaidi ya wafanyaziyara milioni tatu kutoka mataifa ya kigeni tayari wameingia Iraq kushiriki katika matembezi ya kila mwaka ya Arubaini, Waziri...
09 Aug 2025, 20:03
IQNA – Mashindano ya 65 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Malaysia (MTHQA), yameimarika kwa mtazamo wa viwango ambapo majaji wamepongeza mahadhi na uhifadhi...
09 Aug 2025, 19:43
IQNA – Tuzo ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Dubai imetangaza matokeo ya mchujo wa awali, ambapo washiriki 525 wamechaguliwa kuendelea katika toleo la...
09 Aug 2025, 00:29
IQNA – Gavana wa mkoa wa Karbala, Iraq, ametangaza kufanikiwa kuvuruga njama ya kigaidi iliyolenga wafanyaziyara wa Arbaeen katika eneo lake.
09 Aug 2025, 00:25
IQNA – Msikiti Mtakatifu jijini Makkah unatarajiwa kuanza kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani kuanzia Jumamosi.
09 Aug 2025, 00:19
IQNA – Katika ufunguzi wa Kongamano la Dunia la Qur’ani 2025 jijini Kuala Lumpur, Malaysia, wito umetolewa wa kuifanya Qur’ani kuwa mwongozo wa kina katika...
09 Aug 2025, 00:15