Kama si tukio la Karbala na kuiga mfano wa mashujaa wake, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yasingalipata ushindi.
[Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu; 26 Juni 1993]
IQNA – Haram tukufu ya Shah Cheragh (AS) iliyoko katika jiji la Shiraz, kusini mwa Iran, iliandaa kikao cha usomaji wa Qur'an Tukufu jioni ya Jumatatu, tarehe 14 Julai 2025.
IQNA- Usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa kweli ni sauti mbinguni, ambapo kila aya ina thawabu kubwa kwa mwenye kuisoma, na kusikiliza kwake huleta faraja kwa nyoyo.
IQNA – Baladi Omar, qari mashuhuri wa Qur’ani kutoka nchi ya Ivory Coast ya Afrika Magharibi, ameshiriki katika kampeni ya Qur’ani ya “Fath” kwa kusoma aya nne za mwanzo kutoka Surah al-Fath kwa tartili.