IQNA

Qiraa ya Qur'ani Tukufu katika Haram ya Abdul Adhim Hassani (AS) mjini Tehran

21:20 - April 27, 2021
Habari ID: 3473854
TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani (AS) katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran huandaa vikao vya qiraa ya Tarteel ya Qur'ani Tukufu kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

Wasomaji maarufu wa Qur'ani huhudhuria majlisi hizo za qiraa ya Qur'ani ambazo hurushwa hewani mubashara katika TV .

Abdul Adhim Hassani (AS) ambaye pia ni maarufu kama Shah Abdul adhim, alikuwa mjukuu wa kizazi cha tano wa Imam Hassan ibn Ali (AS) na alikuwa sahaba wa Imam Muhammad Taqi (AS).

 
 

 

captcha