iqna

IQNA

Minshawi
Wasomaji Maarufu wa Qur'ani Tukufu /28
TEHRAN (IQNA)- Alikuwa shakhsia mkubwa wa ulimwengu wa Kiislamu ambaye alianzisha mitindo mbalimbali ya usomaji wa Qur'ani Tukufu. Sauti yake nzuri na ustadi wake wa kutamka maneno kwa usahihi na kwa nguvu uliwasaidia wasikilizaji kuelewa maana ya mistari aliyokariri.
Habari ID: 3476596    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/21

Msomaji Qur'ani wa Misri
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mohammed Buhairi Abdul Fattah ni qarii wa Kimisri ambaye usomaji wake wa Qur’ani Tukufu unawakumbusha wasikilizaji enzi nzuri ya usomaji wa Qur’ani nchini humo za Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3475737    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/05

TEHRAN (IQNA)- Kikao cha kumuenzi qarii maarufu wa Misri Marhum Mohammad Siddiq El- Minshawi kimefanyika kwa njia ya intaneti kwa hisani ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) na Taasisi ya Iran ya Ahsan ul Hadith.
Habari ID: 3474828    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA) – Leo Januari 20 ni mwaka 101 wa kumbukumbu ya kuzaliwa mmoja kati ya wasomjai bingwa wa Qur'ani Tukufu nchini Misri.
Habari ID: 3473575    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/20

TEHRAN (IQNA) – Tarehe 20 imesadifiana na mwaka wa 50 tokea alipoaga dunia Mohamed Siddiq El- Minshawi aliyekuwa na lakabu ya 'qarii wa maqarii' ambaye hadi sasa amesalia kuwa miongoni mwa wasomaji wakubwa wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3472887    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/22