iqna

IQNA

saeed
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Saeed Mohammad Nour, maarufu kama 'Sheikh Saeed' alikuwa qarii maarufu wa Sudan ambaye kwa muda mrefu aliishi Misri na kisha akaaga dunia akiwa nchini Kuwait.
Habari ID: 3473696    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/02