iqna

IQNA

arafi
Uislamu na Ukriso
TEHRAN (IQNA)- Mkurugenzi wa Vyuo vya Kiislamu nchini Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Papa Francis, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani na kumkabidhi ujumbe wa maneno kutoka kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3475324    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/01

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la Pili la Kimataifa la Quds Tukufu limeanza kwa njia ya intaneti ambapo kuna washiriki kutoka nchi mbali mbali.
Habari ID: 3473878    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/05