IQNA

Washiriki wa Kongamano la Umoja wa Kiislamu walitoa heshima zao kwa Imam Khomeini (R.A.) Mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran

Wageni walioshiriki katika Kongamano la 37 la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu walitoa heshima zao kwa Imam Khomeini (R.A.) kwa kuhudhuria haram ya mwasisi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
 
 
Kishikizo: kongamano ، waislam ، iran