Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)-Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476216 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/08
Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA) - Mufti mkuu wa Oman amewashukuru Waislamu na wale wote ambao wamekataa kuzungumza au kuhojiwa na na waandishi wa habari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wakati wa Kombe la Dunia la 2022 linaloendelea nchini Qatar.
Habari ID: 3476163 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/28
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina Hamas ametoa wito kwa wananchi wa Palestina kuzidisha mapambano yao dhidi ya Wazayuni wavamizi wanaokalia ardhi za Palestina kwa mabavu hasa mji Al-Quds (Jerusalem) ili kuulinda Msikiti wa Al-Aqsa ulio mjini humo.
Habari ID: 3476110 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/18
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi msichana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 19 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3476089 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/14
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA)- NMratibu wa Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa katika Maeneo Yanayokaliwa kwa Mabavu ametangaza katika ripoti yake kwamba mwaka huu wa 2022 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu zaidi katika ardhi za Palestina katika kipindi cha miaka 16 iliyopita.
Habari ID: 3475973 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/22
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imelaani uamuzi wa utawala ghasibu wa Israel kuwazuia Waislamu kuingia katika Msikiti wa Nabii Ibrahim (AS) katika mji unaokaliwa kwa mabavu wa Al Khali (Hebron) katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3475925 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/13
Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA) - Mwanazuoni mmoja wa ngazi za juu wa Lebanon amelaani baadhi ya tawala za Kiarabu kwa kurejesha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel, akisema makubaliano yao na Wazayuni hayana thamani yoyote ya kistratijia.
Habari ID: 3475882 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/05
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Al-Aqsa ya Indonesia iimelaani vikalia hatua ya hivi karibuni ya walowezi wa Kizayuni wa Israel kusherehekea mwaka mpya wa Kiyahudi katika Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem) na Msikiti wa Ibrahimi huko Al-Khalil (Hebron).
Habari ID: 3475855 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/29
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) - Chama kikubwa zaidi nchini Jordan kimeonya kuhusu ongezeko la walowezi wa Kizayuni Waisraeli ambao wanatekeleza hujuma za kichochezi dhidi ya Msikiti wa Al-Aqsa huko al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3475824 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/22
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Walowezi wa Kizayuni waliwashambulia Wapalestina katika Mji Mkongwe wa al-Quds (Jerusalem) na kujeruhi takriban 21 kati yao wakiwemo watoto.
Habari ID: 3475819 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/21
Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Khatibu wa Kisunni wa Iraq anasema utawala wa Kizayuni wa Israel unapanda mbegu za mifarakano kati ya mataifa ya Kiislamu ili kufikia malengo yake.
Habari ID: 3475651 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/20
Uuungaji mkono Palestina
IQNA (TEHRAN )- Wananchi wa Iran jana Jumanne walifanya maandamano katika mji mkuu Tehran kulaani jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua shahidi wanawake na watoto wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3475605 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/10
Jinai za Israel
TEHRAN (IQNA) – Idadi kubwa ya walowezi wa Kizayuni wenye itikadi kali waliuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa mjini Quds (Jerusalem) mapema Jumapili wakati utawala dhalimu wa Israel uikuwa ukiwashaambulia na kuwaua Wapalestina kwa mabomu huko Gaza kwa siku ya tatu mfululizo.
Habari ID: 3475592 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/07
Quds Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Taasisi za Kiislamu mjini Al Quds (Jerusalem) ziliionya utawala wa Kizayuni wa Israel siku ya Jumapili dhidi ya upanuzi wa Lango la Magharbeh ndani ya eneo la Msikiti wa Al-Aqsa.
Habari ID: 3475566 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/02
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amepongeza hatua ya kuanza tena ibada ya Hija baada ya amali hiyo kuvurugwa kwa miaka miwili na janga la Corona. Amesema, "hii ni baraka kubwa kwani ibada hii ni nembo ya umoja miongoni mwa Waislamu."
Habari ID: 3475348 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/08
Ukombozi wa Palestina
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) nje ya nchi amesisitiza kuwa, Msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ni eneo la kidini na ni la Kiislamu kikamilifu na kwamba, wananchi wa Palestina hawataruhusu kutekelezwa njama chafu za kuliyahudisha eneo hilo takatifu.
Habari ID: 3475263 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/18
TEHRAN (IQNA)-Wazayuni wasiopungua watatu wameangamizwa katika oparesheni za ulipizaji kisasi za Wapalestina waliojitolea kufa shahidi.
Habari ID: 3475213 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/06
Hadi al-Amiri
TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Muungano wa Fat'h nchini Iraq amesema kuwa, kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala ghasibu wa Israel ni hatua ambayo haikubali kwa namna yoyote ile.
Habari ID: 3475189 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30
Uchambuzi
TEHRAN (IQNA)- Siku ya Ijumaa alfajiri, askari wa utawala haramu wa Israel waliwashambulia Wapalestina ndani ya Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds (Jerusalem) ambapo zaidi ya waumini 160 wamejeruhiwa. Jinai hiyo imewapa Wapalestina irada ya kuimarisha mapambano yao dhidi ya adui Mzayuni mtenda jinai.
Habari ID: 3475134 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/17
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imelaani hujuma iliyofanywa na walowezi wa Kizayuni wakisaidiwa na askari wa Israel dhidi ya Msikiti wa al Aqsa.
Habari ID: 3475129 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/15