IQNA – Ayatullah Ali al-Sistani amewataka wafanyaziyara wa Arbaeen kudumisha swala kwa wakati, ikhlasi ya moyo na na mavazi ya heshima na yenye staha katika safari yao tukufu: nguzo kuu ambazo amesema ndizo zenye kuhakikisha kukubaliwa kiroho na kupata thawabu za kudumu.
23:40 , 2025 Aug 12